P.O. Box 105926 Kinondoni, Dar Es Salaam +255 718 297 576 [email protected]
Update

Economic Empowerment to Girls under 24 years

Shirika la Safe Space for Children and Young Women Tanzania limefanikiwa kuendesha mafunzo ya stadi za maisha na ujasirimali kwa wasichana 15 walio chini ya umri wa miaka 24 katika Wilaya Ubungo. Lengo la mafunzo haya ni kuendeleza juhudi za kuwakwamua wasichana walio nje ya shule kiuchumi ili waweze kuendesha maisha yao wao wenyewe katika […]

Update

Chamabanda Primary School

Katika kuunga mkono juhudi za serikali kuhakikisha kila mtoto anapata elimu iliyo bora,, Shiraka la @safespacetanzania Kupitia mradi wa uwezeshaji wa mazingira salama ya kujifunzia wanafunzi katika kata ya Katunguru iliyoko wilaya Sengerema Mkoani Mwanza, limefanikiwa kukabidhi vitabu 850, madaftari 2000 pamoja na vifaa vingine vya kijifunzia Watoto katika shule ya msingi Chamabanda. Ufadhili huo […]

Update

Juma Island Primary School Visit

On August 23rd Safe Space Tanzania visited Juma Island Primary School which is found in the island known as Kisiwa cha Juma (Juma Island), the main aim of this visit was to see how the organization can compliment the government efforts in creating safe and favorable learning environment for the children in the island. Juma […]