P.O. Box 105926 Kinondoni, Dar Es Salaam +255 718 297 576 info@safespace.or.tz
Update

Safe Space yakabidhi madawati Shule ya Msingi Chamabanda

Shirika la Safe Space for Children and Young Women Tanzania, tarehe 2.9.2021  limekabidhi madawati 50 yatakayosaidia wanafunzi 100 pamoja viti na Meza vya walimu 12 katika shule ya msingi Chamabanda Mkoani Mwanza

           

Leave a Reply